MSITU WA AJABU

nimezaliwa katka kijiji cha bukabwa nikiwa kijana wa kwanzwa ktk family  tetu, nyumban kwet maisha yalikuwa ya shida sana, baba yangu alikuwa muwindaji wa wanyama porin,, cku moja baba alienda porin asabuh sana,, bc tulimsubiri mpk jion lkn hakuonekana bc tulijawa na hofu  ,,bc mmasaa yakaenda hadi midaa ya ucku lkn baba hakuonekana,,bc kesho yake ilibidi mm km kujana mkubwa niende mstuni nikamfatilie baba atakuwa kapatwa na nn hko. usikose sehm ya 1

Comments

Popular Posts